Matthew 25:32-33

32 aMataifa yote watakusanyika mbele zake, naye atawatenga kama mchungaji anavyotenga kondoo na mbuzi. 33 bAtawaweka kondoo upande wake wa kuume, na mbuzi upande wake wa kushoto.

Copyright information for SwhNEN